Rich Mavoko naye aibua kipya


Baad ya kutamba na Marry Me sasa Rich Mavoko aibuka na Video mpya ya One Time, Ye anaamini kuwa itafanya pouwa na ndio maana ameachia video yake. Cheki halafu utoe maoni yako