Suala la RADA,pesa wapewe vijana


UMEKUWA ni mgongano mkubwa tangu suala la RADA lilipoibuka na kuonekana kuwa serikali yetu haina uaminifu katika upande wa pesa zinazotengwa kwaajili ya kutekeleza miradi mbalimbali hapa nchini.Hali hiyo imekuwa ikiletea serikali kashifa mbalimbali na kusababisha kuonekana kuwa imekuwa ikitumia vibaya pesa ya vijana walipa kodi,kubuni miradi hewa isiyotekelezeka.Masuala kama RICHMOND,DOWANS, Continue reading

Advertisements

Je, Michezo mingine ya vijana imetoswa Tanzania?


Mmoja wa wakimbiaji wa mchezo wa riadha(picha kwa hisani ya AP)

Vijana mbalimbali Tanzania wamekuwa na maoni tofauti juu ya mfumo unaofanyika wa kuendesha sekta ya michezo hapa nchini.Maoni hayo ambayo yametolewa na wadau wa michezo ,imeonesha kuwa serikali kupitia wizara yake ya michezo,haiitendei haki baadhi ya michezo inayopaswa kutendewa haki kama ulivyo mpira wa miguu. Continue reading

Vijana Walemavu na Elimu


vijana walemavu na elimu

mmoja wa mwanafunzi kijana,aliyewezeshwa kupata msaada wa baiskeli ili kumuwezesha kufika shuleni kwa urahisi(PICHA KWA HISANI YA WEBSITE YA TEA)

Ukikaa chini na kutafakari kwa kina,kwanini kuwekuwa na changamoto za kila siku zinazozungumzia vijana  na maisha yao ili kufanya kijana ajitambue yeye ni nani,utakubaliana nami kuwa zinahitajika sana katika jamii ya vijana.Makampuni mbalimbali ya watu binafsi na taasisi za dini,zikijihusisha na shughuli kama hizi pamoja na serikali ambayo nayo inajitahidi katika kuinuia vijana walemavu katika masuala mbalimbali.

Serikali yetu kwa hivi sasa kupitia wizara ya Elimu na mafunzo ya ufundi chini ya waziri mwenye dhamana,Dr.Shukuru Kawambwa kupitia taasisi yake ya TEA(TANZANIA EDUCATION AUTHORITY) iliyopo millenium tower,jijini Dar es salaam, Continue reading

DONDOO ZA VAZI LA OFISINI


aina ya mavazi ya ofisni

Karibu sana msomaji wangu wa kona hii ya masuala mbalimbali ya maisha ili kama kijana uweze kuwa na muonekano bora katika jamii ikuzungukayo.Ili kijana uweze kuonekana handsomeboy na binti uweze kuonekana mrembo  inabidi ujaribu kufuata ushari huu katika masuala ya mavazi na leo tunazungumzia haswa vazi la ofisini

Unapotaka kuvaa vazi ,inabidi uangalie hilo vazi unalivaa mda gani na unapoenda ni wapi,siyo vazi la kwenda beach unalivaa ofisini,utachekesha umati na hautopendeza kama ulivyopanga. Continue reading

ZAWADI HUBORESHA PENZI


       HABARI  za mda huu vijana wenzangu,karibuni sana katika pande hizi za vijana na mahusiano ili tuweze kuhabarishana habari nyingi zinazohusu mahusiano na maisha yetu ya kimahusaiano kama vijana ili tuweze kuboresha mapenzi yetu na kudumu kwa mda mrefu katka uchumba na ndoa zetu. Continue reading

Piga Kura yako kwa usahihi


Vijana Wanahitaji Maendeleo na si Porojo nyingi Bungeni


Baadhi ya wabunge ,wakitoka nje ya ukumbi wa bunge wakati majadiliano ya hotuba yakiendelea(PICHA KWA HISANI YA TBC)

IMEELEZWA kuwa  imekuwa hali ya kwaida kwa Wabunge wengi vijana na Wabunge wanawake bungeni,kuligeuza soko kuwa ni kama mahali isiyo na thamani na yenye kuongea na kuleta maneno ya mzaha kadri ya wanavyojisikia.NI hali ya kushangaza na kusikitisha,Bungeni kuwa sehemu ya uswahilini wakati ni sehemu ya vijana wengi kuona haki na masuala yao muhimu yakizungumziwa na kupatiwa ufumbuzi wa kina bali hali imekuwa kinyume na mategemeo mengi ya vijana.

HALI hiyo imeonekana kwa wingi hasa wakati wa majadiliano ya bajeti za wizara mbalimbali zinazoendelea BUNGENI, Continue reading

VIJANA TAIFA LA LEO


HI,Karibuni sana vijana na watu wote katika sehemu maalumu ya vijana kukutana na kutoa mawazo yao mbalimbali, na pia  kupata habari muhimu za mambo yanayowahusu  vijana kila siku katika mambo ya kiuchumi,kiutamaduni,kielimu,kimichezo ,kisiasa na mengine mengi ili kuweza kumfanya kujitambua na kutimiza majukumu yampasayo kufanya ili kutimiza malengo yake katika kulijenga taifa letu Continue reading