Utegemezi kwa kijana wa kike ngumu kuisha


Tangu mkutano wa mkombozi kwa mwanamke uliofanyika huko Beijing,China,ukiwa na mkakati wa kumkomboa mwanamke kutoka katka hali ya utumwa kwa mwanaume,hali hiyo imekuwa tofauti nchini Tanzania kwa wanawake kusema wanajikomboa ila wanataka kuendelea kuwa watumwa kwa wanaume.

Hayo yameelezwa na wadau mbalimbali wa masuala ya wanawake na vijana ,walipozungumza na VIJANATANZANIA kwa kusema kuwa mainti vijana wengi wa kike na wanawake wanapambana sana katika maisha siku hizi kwa kubuni miradi mbalimbali ya kuendesha maisha yao lakini jambo la ajabu wanaendelea kuwa tegemezi wa wanaume wao au wapenzi wao.

Akifafanua hayo Jackline Wolper ,mjasiliamali na muigizaji,alisema wanawake wengi sasa wamekuwa na uwezo wa kujitegemea kayika bishara zao na uwezo mzuri wa kusiendesha lakini tatizo huyo mwanamke anakosa ujasiri hata wa kuisimamia familia,anasubiri kila ktu akifanye mme wake jambo ambalo linamfanya mwanamke awe bado chini ya utumwa. Continue reading

Advertisements