Kijana tumia mitandao kupata kipato na sio kuchati tu,acha uvivu!!


Hali ngumu ya maisha imezidi kuwaathiri sana vijana wa Tanzania na kusababisha maisha yetu ya kila siku kuwa magumu lakini swali hili linabaki kwa vijana kujiuliza kila siku ,ni nani wa kumlaumu na kumtupia lawama za kuishi maisha magumu sana hata yasiyopendeza machoni mwa vijana wengi.

Vijana wengi wamekuwa wakilalamika sana kuwa maisha ni magumu sana lakini kama kijana umefanya mbinu gani ya wewe kuweza kujikwamua na hali ngumu inayokukabili na kuepuka kuishi katika maisha mabovu na yasiyokupendeza,ni mbinu ipi we kama kijana umeianzisha kujitoa katika umaskini,je nawe unasubiri uwezeshwe kama wanawake wanavyotaka kuwezeshwa Continue reading

Advertisements

Yapi maoni yako kuhusu sakata la Waziri mkuu kujiuzuru