Sifa za Mwanamume wa kweli (A real man) tena wa Kiafrika


1.Siku zote hujitahidi kwa kila njia kuonesha kuwa yeye ni mwanamume na siyo mvulana mkubwa (big boy) au mwanamke asiye kuwa na maziwa huku akiwa ndani ya suruali.
2.Hufanya maamuzi pale pale inapotakiwa na husimama kidete kuhakikisha maamuzi yake muhimu (yale ya busara) yanatekelezwa tena kwa gharama yoyote. Mwanamume wa kweli hatoi kauli tata na kauli zake huwa ni aina fulani ya maelekezi (orders) ya jinsi ya kudeal na issues zote muhimu ndani nyumba!
3.Huwa halii lii ovyo hata kama kafiwa. Hujitahidi kutowaambukiza weliomzunguka emotional break down. Kwa hiyo, inapobidi kulia, huficha sura yake. Mwanamume wa kweli hawezi kuangua kilio mbele za watu hata kama kafiwa na Mungu wake!! Continue reading

Advertisements

Mrembo ‘masogange’ nusura kufa


Mrembo aliyehusika katika video ya wimbo wa msaani Belle9,ajulikanaye kwa jina la Agness,amenusurika kufa baada ya kufakamia pombe na dawa ijulikanayo kwa cephalaxin siku  za hivi karibuni.

Kwa mujibu wa rafiki wa karibu wa  Masogange aitwaye Janneth asubuhi  ya siku ya tukio, Agness alimpigia  simu na kumtaka afike nyumbani kwake  kwa kuwa tumbo lilikuwa  likimsumbua. Continue reading