Traficc agongwa vibaya na gari eneo la Bamaga.


TRAFIKI3Askari wa usalama barabarani katika mataa ya kuongezea magari yaliyoko eneo la Bamaga Dar es Salaam amegongwa na gari na inadhaniwa amekufa papo hapo.

Askari huyo ambaye ni mwanamke, amekimbizwa hospitali ili kuweza kujua kama bado yuko hai aweze kupatiwa matibabu.

Advertisements

2 comments on “Traficc agongwa vibaya na gari eneo la Bamaga.

  1. kama askari wa usalama tu anagongwa…je hao walemavu wasioweza hata kuruka mita moja si watakwisha…kama siyo ulevi wa madereva ni nini basi?

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s