Nancy Sumari awa Mwandishi.


bookMwanadada aliyewahi kuwa Miss Tanzania mwaka 2005 na kutwaa taji la Miss Africa mwaka huo huo Nancy Sumari, leo amezindua rasmi kitabu chake kinachokwenda kwa jina la ‘Nyota Yako’.

Kitabu hicho kinachozungumzia wanawake mashujaa walioko Tanzania na ambao wameweza kupambana na kufanikiwa imesema kuwa lengo kuu la hicho kitabu na kuweza kuwahamasisha watoto wa kike waweze kupambana na hatimaye kufanikiwa katika maisha.r600x600

Tushazoea warembo wengi wanapomaliza mda wao wa Miss Tanzania huwa wanakuwa waimbaji au waigizaji, ila huyu amaweza kuonesha kitu cha tofauti, Big UP kwake na tumuunge mkono kuendeleza kipaji chake.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s