Bushoke aja na ‘Nyerere’.


Msanii Bushoke kutoka Tanzania ambaye sasa anaishi South Africa, maeibuka na track mpya inayoitwa Nyerere.

Video hiyo ambayo hakuna watu wanaocheza wala kuruka ila ni baadhi tu ya picha zilizowekwa zikimuonesha  Marehemu Nyerere na wadau wengine, inasisitiza umoja, upendo na amani.

Mtengenezaji mkuu ni Max Bushoke na imerekodiwa katika studio ya Bush Records iliyoko South Africa.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s