Tuzo za KILI zazinduliwa leo.


kili1Tuzo za muziki maarufu kama Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013 zimezinduliwa leo jijini Dar es Salaam zikiwa na dhumuni kubwa la kutambua wasaniii waliopata mafanikio katika sekta ya muziki kwa kipindi cha mwaka mmoja uliopita. Continue reading

Advertisements

Rich Mavoko naye aibua kipya


Baad ya kutamba na Marry Me sasa Rich Mavoko aibuka na Video mpya ya One Time, Ye anaamini kuwa itafanya pouwa na ndio maana ameachia video yake. Cheki halafu utoe maoni yako