Sifa za Mwanamume wa kweli (A real man) tena wa Kiafrika


1.Siku zote hujitahidi kwa kila njia kuonesha kuwa yeye ni mwanamume na siyo mvulana mkubwa (big boy) au mwanamke asiye kuwa na maziwa huku akiwa ndani ya suruali.
2.Hufanya maamuzi pale pale inapotakiwa na husimama kidete kuhakikisha maamuzi yake muhimu (yale ya busara) yanatekelezwa tena kwa gharama yoyote. Mwanamume wa kweli hatoi kauli tata na kauli zake huwa ni aina fulani ya maelekezi (orders) ya jinsi ya kudeal na issues zote muhimu ndani nyumba!
3.Huwa halii lii ovyo hata kama kafiwa. Hujitahidi kutowaambukiza weliomzunguka emotional break down. Kwa hiyo, inapobidi kulia, huficha sura yake. Mwanamume wa kweli hawezi kuangua kilio mbele za watu hata kama kafiwa na Mungu wake!! Continue reading

Advertisements

Vijana wa sasa na wazamani wapi wahuni?


Katika masuala ya mapenzi inasemekana ya kuwa vijana wa sasa hawana mapenzi ya kweli na wengi ni waongo sana katika mapenzi, wahuni,na majina mengi kama hayo yanayosababisha wao kutoonekana kama ni waaminifu katika mahusiano. Continue reading

ZAWADI HUBORESHA PENZI


       HABARI  za mda huu vijana wenzangu,karibuni sana katika pande hizi za vijana na mahusiano ili tuweze kuhabarishana habari nyingi zinazohusu mahusiano na maisha yetu ya kimahusaiano kama vijana ili tuweze kuboresha mapenzi yetu na kudumu kwa mda mrefu katka uchumba na ndoa zetu. Continue reading