Image

Tamko la Waziri Bernard Membe juu ya Absalom Kibanda.


Tamko la Waziri Bernard Membe juu ya Absalom Kibanda.

Waziri wa nje na ushirikiano wa kimtaifa Bernard Membe ameamua kutoa tamko kwa vyombo vya habari kuhusiana na kujeruhiwa kwa Mwenyekiti wa jukwaa la Waharirir Bw. Absalom Kibanda

Advertisements

Shosteez waachia video mpya


Lile kundi matata la Shosteez linaloundwa na wadada watatu ambao Menynah Atick, Salma Mahin na NurImageu tayari wameachia video ya nyimbo yao inayojulikana kama “On The Floor” na kiuweli wamefanya pouwa. Continue reading

Vijana 12 wakamatwa na polisi wakiandamana kushinikiza muungano uvunjwe


Wakati asilimia kubwa ya watanzania wakiuenzi na kuukumbuka Muungano wetu wa Tanganyika na Zanzibar uliotimiza miaka 48, kwa vijana wengine ilikuwa tofauti hali iliyopolekea kuanzisha vurugu.

Vijana hao  ambao waliguswa kwa namna moja au nyingine kwa maslahi ya watanzania au yao binafsi  walipinga kauli isemayo kidole kimoja hakivunji chawa na kusema ni zama za kizamani na kuitaka kila nchi iwe huru kama Sudan kaskazini na kusini zilivyotengana. Continue reading

Vijana tanzania na soko huru la A. Mashariki sehemu ya 1


Uvivu  na  kutopenda kujituma ni hali ambayo imeonekana ikileta ugumu kwa vijana wengi wa Tanzania kuleta ushindani wa soko huru la Afrika mashariki lilifunguliwa mnamo mwezi juni mwaka 2011 ili kuruhusu nchi za Kenya,Uganda,Rwanda,Burundi na Tanzania katika kushirikiana mambo mbalimbali ya kiuchumi  ili kukuza uchumi wa pamoja wa Afrika mashariki.

Hali hiyo imeweza kujionesha katika makampuni mbalimbali wageni kutoka nje ya nchi kama Kenya na Uganda kupewa kipaumbele zaidi katika ofisi mbalimbali na kumiliki nafasi za juu za uongozi huku vijana wa kitanzania wakibaki kushika nafasi za chini sana kama usekretari,mesenja na ufagiaji wa maofisini hali ambayo imekuwa ikiwaumiza vijana wengi wa kitanzania lakini mkurugenzi mmoja wa kampuni ya masoko(jina linahifadhiwa) alikuwa na haya ya kusema. Continue reading

Vijana Walemavu na Elimu


vijana walemavu na elimu

mmoja wa mwanafunzi kijana,aliyewezeshwa kupata msaada wa baiskeli ili kumuwezesha kufika shuleni kwa urahisi(PICHA KWA HISANI YA WEBSITE YA TEA)

Ukikaa chini na kutafakari kwa kina,kwanini kuwekuwa na changamoto za kila siku zinazozungumzia vijana  na maisha yao ili kufanya kijana ajitambue yeye ni nani,utakubaliana nami kuwa zinahitajika sana katika jamii ya vijana.Makampuni mbalimbali ya watu binafsi na taasisi za dini,zikijihusisha na shughuli kama hizi pamoja na serikali ambayo nayo inajitahidi katika kuinuia vijana walemavu katika masuala mbalimbali.

Serikali yetu kwa hivi sasa kupitia wizara ya Elimu na mafunzo ya ufundi chini ya waziri mwenye dhamana,Dr.Shukuru Kawambwa kupitia taasisi yake ya TEA(TANZANIA EDUCATION AUTHORITY) iliyopo millenium tower,jijini Dar es salaam, Continue reading