Finny Muyeshi wa CECAFA afariki.


A

Afisa Habari wa Shirikisho la Soka la Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), Finny Muyeshi
Afisa Habari wa Shirikisho la Soka la Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), Finny Muyeshi

fisa Habari wa Shirikisho la Soka la Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), Finny Muyeshi, amefariki dunia juzi Jumatano usiku. Continue reading

Advertisements

Je, Michezo mingine ya vijana imetoswa Tanzania?


Mmoja wa wakimbiaji wa mchezo wa riadha(picha kwa hisani ya AP)

Vijana mbalimbali Tanzania wamekuwa na maoni tofauti juu ya mfumo unaofanyika wa kuendesha sekta ya michezo hapa nchini.Maoni hayo ambayo yametolewa na wadau wa michezo ,imeonesha kuwa serikali kupitia wizara yake ya michezo,haiitendei haki baadhi ya michezo inayopaswa kutendewa haki kama ulivyo mpira wa miguu. Continue reading