Hivi ndivyo kijana wa kisasa anapaswa kuwa


Tuangalie muonekano wao wa mavazi,tabia na vitu vingine ambavyo tunapaswa kujifunza

Muonekanao safi na wenye kupendeza ni sifa nzuri kwa kijana wa kisasa na inapaswa kijana kujitambua kuanzia mavazi,kiakili na hata kimawazo ndivyo vitu vinavyofanya kijana kuwa katika hali nzuri hata akienda sehemu kuacha watu wakiwa na hamu ya kuendelea kumtizama na kuwa naye karibu.

Kijana kutokuwa nadhifu,kujitambua na kuwa katika hali ya uchafu ni vitu ambavyo vinamshusha thamani kwa haraka sana,na wakati mwingine kijana anaweza kuwa na jambo la busara kusema katikati ya wenzake lakini ule muonekano wake ukasababisha watu washindwe kumheshimu katika jamii inayomzunguka. Continue reading

Advertisements

We ungekua Rais kijana wa Tanzania ungeleta kipya kipi katika sekta ya ajira


Suala la RADA,pesa wapewe vijana


UMEKUWA ni mgongano mkubwa tangu suala la RADA lilipoibuka na kuonekana kuwa serikali yetu haina uaminifu katika upande wa pesa zinazotengwa kwaajili ya kutekeleza miradi mbalimbali hapa nchini.Hali hiyo imekuwa ikiletea serikali kashifa mbalimbali na kusababisha kuonekana kuwa imekuwa ikitumia vibaya pesa ya vijana walipa kodi,kubuni miradi hewa isiyotekelezeka.Masuala kama RICHMOND,DOWANS, Continue reading