Mrembo aliyehusika katika video ya wimbo wa msaani Belle9,ajulikanaye kwa jina la Agness,amenusurika kufa baada ya kufakamia pombe na dawa ijulikanayo kwa cephalaxin siku za hivi karibuni.
Kwa mujibu wa rafiki wa karibu wa Masogange aitwaye Janneth asubuhi ya siku ya tukio, Agness alimpigia simu na kumtaka afike nyumbani kwake kwa kuwa tumbo lilikuwa likimsumbua. Continue reading