Video ya JOTO HASIRA kubanjuliwa leo.


jdMwanadada mkali Lady Jay Dee leo  kufanya uzinduzi rasmi wa ngoma yake mpya ya ‘Joto Hasira’ aliyomshirikisha mkali wa rap Prof. Jay ndani ya EATV katika kipindi chako  cha FNL. Continue reading

Advertisements